Msaada tafadhali: Nina kibamia

Msaada tafadhali: Nina kibamia

Huyu uchumi itakuwa ni doro,, anataka mzinga wa kuwapagawisha mashangazi [emoji16][emoji16] maana kama kafika 30yrs ndo kakumbuka kuwa anajogoo mdogo [emoji848] kuna walakini hapa.
😂😂, Kibamiaaaa 😂😂
 
IMG_5617.jpg
 
Salama wakuu

Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.

Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran

mi niko na inch mbili[emoji848]Nishaacha izo habar za kutafuta dawa,,,,
Ninapata mademu wazuri kuliko wenye nch6[emoji3][emoji3]Maisha n ya ajabu sana
 
Ukute wanaambiana ili waje kushuhudia kibamia kilivyo[emoji28][emoji28]

ndo wanaliwa hivo[emoji3][emoji3]sababu haijalishi
awe anakuja kwa sababu ya hela, iwe sababu ya mwili mzuri, au kit*mbo cha nguvu au kushuhudia mwisho wa siku mtu anachapika
 
Wewe ukishamwaga habari ya kibamia atajua yeye,mimi nina nchi 3 na nusu ila sijawahi kuwaza kuongeza maumbile.Hawa wanawake wa bongofleva hata uwe na nchi 45 bado watahitaji uongeze nchi 6 za ziada.Nasema wewe hakikisha unamwaga tu habari ya kibamia mwachie aliekuumba maana ukijikosoa utadhani ulijiumba wewe matokeo yake utatamani yale mambo ya upinde wa mvua
Kuna manzi aliniambia Ina kawaida ya kujifunga na kujifungua, yaan ukiingia mkulungu mkubwa sana inajifungua shimo linaongezeka ndio maana kabla ya kufunguliwa silidi mbo o inakua ngumu kupita, sasa wanapokutana na wanaume tofauti tofauti ndio inazidi kufunguka na kina kinaongezeka mwisho kinakua shimo refu Ila mwanzo wakati kuna kizibo bado hawajakata utepe kina kilikua kifupi

Samahani kwa kuangezea na hili nasikia muahsmwa rais anapitaga huku, alipita ataangazea na yeye
 
Wewe ukishamwaga habari ya kibamia atajua yeye,mimi nina nchi 3 na nusu ila sijawahi kuwaza kuongeza maumbile.Hawa wanawake wa bongofleva hata uwe na nchi 45 bado watahitaji uongeze nchi 6 za ziada.Nasema wewe hakikisha unamwaga tu habari ya kibamia mwachie aliekuumba maana ukijikosoa utadhani ulijiumba wewe matokeo yake utatamani yale mambo ya upinde wa mvua
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom