Msaada tafadhali: Physics, Geography and Mathematics

kitoromoni

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
424
Reaction score
210
masaada wadau kwa anayefahamu shule nzuri ya serikali yenye kutoa mchepuo wa pgm.nina kibwana mdogo changu kinafikiria kuchukua kombi hiyo.ahsanteni wadau
 
Nenda Airwing High school.

asante mkuu,najaribu kufanya uchunguzi kwa kuangalia matokeo yao for the past 5yrs,naona kwa pgm hayaridhishi kabisa,dogo kakomaa anataka PGM,but nikiangalia skuli nyingi hazifanyi vizur
 
asante mkuu,najaribu kufanya uchunguzi kwa kuangalia matokeo yao for the past 5yrs,naona kwa pgm hayaridhishi kabisa,dogo kakomaa anataka PGM,but nikiangalia skuli nyingi hazifanyi vizur

Hiyo ya kufanya vibaya ni kote kote wala usidhani ni shule hiyo tu,PGM ni moja kati combination ngumu sana nchini na hii ni kwa sababu ya wataalamu wake ni wchache na masomo yenyewe tu (Physics,Geography,na Mathematics) hayaendani ni bora ungemshauri asome PCM lakini pia inategemea yeye anataka kufanya kazi gani baadae na hilo ndo la msingi zaidi.
 

nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga wa kutosha,kijana analilia aidha urubani au aeronautical engineering,sijui kama without pgm kama anaweza ku make it.but if there is any other way to reaching there,i ready to take an advice na nimshauri pia
 
nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga wa kutosha,kijana analilia aidha urubani au aeronautical engineering,sijui kama without pgm kama anaweza ku make it.but if there is any other way to reaching there,i ready to take an advice na nimshauri pia

Kama target zake ni hizo muache tu akomae unajua ni vizuri kusoma kitu ambacho anakipenda hata kama ni kigumu atakifanya kwa bidii sana kwa sababu malengo yake yako huko,ila inabidi apewe facilities zote zinazohusiana na hayo masomo hayo ili asije kwazika na kati ya hayo masomo somo lenye unafuu na hesabu ishu iko kwenye Physics na Geography na ni kwa sababu zina mambo mengi. Yote yote kwa muache afanye anachotaka kufanya na atafanikiwa na kwa hizo target zake za kuwa rubani ana Geologist hiyo ndo njia sahihi kabisa,mpe kila la kheri!
 

asante mkuu,ngoja nijaribu kufanya yote nitakayoweza kumsaidia atimize ndoto zake
 
akaze msuli tuu PGM ni tough lakini kama ana nia na hiyo combination atatoboa tu.. jaribu kumtia moyo mtafutie na material ya kutosha.. kuhusu shule zimeshatajwa hapo juu ila cha msingi ni kukaza msuli tuu popote kambi mkuu ila akili kichwani mwake ajue anachokitaka na akitimize... akazane sana na physics hapa ndo kwenye kazi.. huko kwingine maths ni kucheza na content tu na kuzibalance ajue sehemu za kuchangamkia.. geography sijui sina experience nayo
 

asante sana mkuu,ameamua kukomaa nayo whatever goes his way keshaamua
 
ujasiri, uvumilivu na kutokata tamaa ndio msingi wa mafanikio.. dont hesitate giving him company, help and courage... for sure he will overcome the barrier infront of him... may god bless you guys

amen,asante sana mkuu,ngoja nimsaidie na nikomae nae atimize ndoto zake
 
Shule yoyote itakutoa kutokana na juhudi zako, If needs Engineering akomae na usidanywe eti ukisoma PGM unakuwa rubani hapa bongo hatuna degree ya urubani ila kuna mafunzo ya urubani kama driving.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…