kitoromoni
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 424
- 210
- Thread starter
- #21
Shule yoyote itakutoa kutokana na juhudi zako, If needs Engineering akomae na usidanywe eti ukisoma PGM unakuwa rubani hapa bongo hatuna degree ya urubani ila kuna mafunzo ya urubani kama driving.
ni kweli mkuu duniani kote hakuna degree ya urubani(labda kama mi ndo sifahamu but atleast najua hakuna),ila inashauriwa uwe na atleast basics za hayo masomo.i mean physucs,geography na mathematics.japokuwa unaweza kusoma hkl,hge atc na ukawa rubani kwani kwa hapa bongo ukiwa na hela kila kitu kitakuendea sawa.utalipa na kupewa ground school,baada ya hapo utalipa na kuanza kuruka.ukitimiza masaa yanayohitajika utapewa ppl kama kawaida.but kuwa na background ya geog,phy na mtc ni muhimu