Msaada tafadhali rafiki yangu anawaza kwenda kufanya OTOPLASTY SURGERY(ears correction)

Von soden

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
23
Reaction score
3
Habari zenu nyote kwa pamoja,

Hope mmeamka salama na mnaendelea na shuhuli za kutafuta ridhiki kama si kulijenga taifa na kuleta maendeleo.

Nina shida moja ambayo ningependa niiongelee hapa na kuomba msaada wenu wa mawazo either ya kiimani,kitalaamu au kijamii.

ukweli ni kweli kwamba rafiki yangu anakosa confidence kwasababu ya maumbile yake ya masikio makubwa, hatimaye amekuja na wazo la kwenda south africa ambako kwa taarifa za kuaminika ni kwamba huduma ya marekebisho ya shepu ya masikio inapatikana tena kwa gharama ndogo tu ya TZmillioni chache sana. kwahiyo yeye amevutiwa na hudma ya pinning ears closer to the head (2 to 3hrs)ambayo ni ya kudumu for life long.
naomba mchango wako wa mawazo ili nimpe go ahead.

nawasilisha.
 
Akimaliza masikio atafanya ya nn!
Mwambie ajiamini, ni kweli ingawa muonekano wqko unamatter mbele ya watu lakini haikusaidiii chochote kwny maisha yako. Principle ya kuishi na watu ni ww usiwavafanyie baya kwa makusudi, the rest ni ww mwnyw!
 
embu picha yake tumshauri kama aende au la
 
kazi kuu ya sikio la nje ni kukusanya mawimbi ya sauti na kumfanya mwenye sikio kusikia sana!

sasa mkuu, endapo sikio likifanyiwa surgery na kupunguzwa, madhara yake yatakuwaje?


sikio kama hilo means that lina uwezo wa kukusanya mawimbi mengi sana ya sauti na kumfanya mwenye sikio kusikia sana

lakini endapo litapunguzwa hivi,


lazima madhara yake ambayo yatakuwa negative tu!!!

mwambie afikirie tena mkuu!!!
 
Ha ha ha wacha nicheke tu sababu cyo kilemaaa! Sipati picha hayo masikio ha ha ha! Mpe polee! Picha tafadhariiii!!!!!
 
Atakuwa alivutwa sana wakati yupo mdogoooo !!!
 
embu muulize nn kinachomfanya aende kufanya sugery ni kwa sababu ya macho ya watu au mtu. na je hayo masikio ni kama ya punda, je hicho ni kilema. akiyajibu haya nitamshauri
 
Anataka za Michael Jackson..... ngoja Creator mwenyewe amkatae akirud kwake
 
Alivyo umbwa na MUNGU abakie vile vile, anakwenda kujiharibu maana Mungu Hakosei hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…