Habari zenu nyote kwa pamoja,
Hope mmeamka salama na mnaendelea na shuhuli za kutafuta ridhiki kama si kulijenga taifa na kuleta maendeleo.
Nina shida moja ambayo ningependa niiongelee hapa na kuomba msaada wenu wa mawazo either ya kiimani,kitalaamu au kijamii.
ukweli ni kweli kwamba rafiki yangu anakosa confidence kwasababu ya maumbile yake ya masikio makubwa, hatimaye amekuja na wazo la kwenda south africa ambako kwa taarifa za kuaminika ni kwamba huduma ya marekebisho ya shepu ya masikio inapatikana tena kwa gharama ndogo tu ya TZmillioni chache sana. kwahiyo yeye amevutiwa na hudma ya pinning ears closer to the head (2 to 3hrs)ambayo ni ya kudumu for life long.
naomba mchango wako wa mawazo ili nimpe go ahead.
nawasilisha.