Tatzo lako mkuu ni la kisaikolojia. Nimesoma ushauri uliopewa na watu kadhaa hapo nyuma, wengi wamekushauri vizuri. Vitu kama mazoezi, diet, mazingira ya kufanyia tendo na mwenza wako ni miongoni mwa zinazoweza kuchangia tatizo lako. Lakini ninashawishika kabisa kwamba inawezekana ukafuata ushauri huo na bado tatizo likaendelea. Nasema hivyo kwa sababu inawezekana ww saiv kila ukimaliza round ya kwanza brain yako ishajengeka kwamba la pili sitamaliza na ikiwa hivyo, kweli huwezi kumaliza hata kama ukafuata ushauri mzuri uliopewa na baadhi ya watu. Sasa tibu kwanza mind yako kwa sababu mapenzi yanafanywa ktk brain. Tell ur brain that today I can do it, na nina uhakika utaweza broo.