Msaada Tafadhali Simalizii bao la Pili

Msaada Tafadhali Simalizii bao la Pili

Hahaaaaaa kijana kwani ulisoma wapi lazima uoige bao mbili? kila mwanadam anazaliwa na uwezo wake tofauti na wengine...
Muhimu: Angalia umri wako, Punguza uzito, sigara, mapombe, mirungi, bhangi, cheki BP, Colestral, kisukari, no punyeto na fanya mazoezi hasa squart, asbhi ni mda mzuri sana wa mazoezi, kula vyakula vyenye proting, wanga kiasi, pumzika vya kutosha, punguza wapenzi wengi.........

Pia: Fanya mapenzi kwa mpenzi unaemuwaza na sio vichecheee vya kununua,mabaa maid...
Bonge la ushauri mkuu
 
Ukizingatia yote hayo ni sawa ila nina uhakika mwenzako hana ushirikiano katika mchezo yy analala tu hajui kujigaragaza ili ufanikiwe hili lazima wote muwe bize na kuchezeana ndio mzuka hata bao 4 utaenda bila wasi

nitafanyia kazii ushauri wako
 
Nafurahikwa sababu tupo wengi. mi bao la kwanza nakuwa na mzuka ila la pili kama ni kujipa shida na kutaka umaarufu

Dah mm inanipa tabu sanaa sababuu nataka nipaform kiwango sio chini ya bao mbilii kwa wastan
 
nipe ushauri wako mkuu yeye hayo ni mawazo yakee
Inamaana kusoma hujui? Inatakiwa uizoee sex, kama ya mechi za maana piga mazoezi kwa hiyo micharuko ili uzowee show za kibabe ukija kukibeba kitoto cha chuo lazima kikahadithie huko hostel kwamba kuna mashabaab yanajuwa kuutendea haki uchi.

Sasa kigori cha kwanza wanaume karibu wote wanatema mapema, demu anausikilizia mshindo wa pili show ya kibabe wewe mwenzetu ndio inanywea hii ni serious problem,

Angalieni vyakula vingine siyo kabisa unakuta dume zima kila siku limepanga foleni na wadada kwenye chips so what do u expect?
 
Changanya asali vijiko vitatu, mdalasini vijiko viwili, tangawizi kipande cha wastani na kitunguu swaumu punje sita kwenye glasi ya maji. Hakikisha unapiga asubuhi glasi moja na jioni glasi moja. Nakuhakikishia baada ya wiki Lazima shemeji ataomba poo.
Hizo punje za vitunguu swaum zinasagwa/kupondaponda au zinapigwa nzima nzima
 
Back
Top Bottom