Msaada tafadhali: Taa ya check engine haiwaki: Nissan Hard Body np300

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Naomba MSAADA: Baada ya kubadilisha injector nozzle zote engine imekosa nguvu, na bado check engine lamp HAIWAKI__

Nikitumia mashine ya Diagnosis (ANCEL) fault code P1922(switch on engine off) na P0089 (switch on engine on) zinatokea, nikiClear na kuscan tena inarudi P1922.

TATIZO: $jui namna ya kufanya registration ya injectors kwa kutumia mashine! Naomba MSAADA!

Gari halina nguvu kabisa, speed 30 tu kuipata shida sana!

Asanteni
 
Umeandika tu kwamba unatumia Ancel. Ila hao Ancel wana mashine za aina nyingi. Weka model au picha ya mashine yako.

Note: Kama mashine unayotumia ni code reader basi huwezi kufanya injector coding.

Mwisho ukikwama nicheck nikufanyie hiyo injector coding. Maana software yake ninayo.
 
Mashine ni ANCEL X6/X7___ sina experience kubwa na Diagnosis ila nimenunua mashine hii ili kuwa nafanya kazi zinazojitokeza. Kuna baadhi ya vitu sijawahi kufanya kama hiyo injector registration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…