resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Naomba MSAADA: Baada ya kubadilisha injector nozzle zote engine imekosa nguvu, na bado check engine lamp HAIWAKI__
Nikitumia mashine ya Diagnosis (ANCEL) fault code P1922(switch on engine off) na P0089 (switch on engine on) zinatokea, nikiClear na kuscan tena inarudi P1922.
TATIZO: $jui namna ya kufanya registration ya injectors kwa kutumia mashine! Naomba MSAADA!
Gari halina nguvu kabisa, speed 30 tu kuipata shida sana!
Asanteni