Msaada tafadhali, tatizo la kiuno kuuma mara kwa mara kwa mjamzito first trimester

Msaada tafadhali, tatizo la kiuno kuuma mara kwa mara kwa mjamzito first trimester

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Natumai mu wazima wa afya.
Naombeni msaada wenu tafadhali ni sababu zipi husababisha kiuno kuuma mara kwa mara hasa nyakati za jioni kwa mjamzito wa wiki kama saba hivi.

Tatizo hili limedumu kwa muda sasa (kama wiki tatu hivi) na hospital wanasema ni hali ya kawaida itaisha tu.

Ni hali inayotia wasiwasi hasa ukizingatia ni moja ya dalili za hatari kwa mjamzito na pia mtu mwenyewe hafanyi kazi yoyote nzito na muda wote huo amekuwa akishinda nyumbani.

Kwa mwenye uelewa au uzoefu na hii hali naomba msaada tafadhali.
 
Hospitali wamekwambia hali ya kawaida basi jua hivo hata usiwe na wasiwasi ingekua hatari ungeambiwa
 
Back
Top Bottom