Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma agricultural economics and agribusiness.idara ya kilimo.nipo halmashauri.nataka Kubadilisha muundo kwenda uchumi.Ongezea nyama itapendeza thread ime hang kishamba unazingua hapo hatuelewi vipi unachotaka
Sema kwanza upo kitengo gani chini ya wizara gani km NI serikali kuu au halmashauri chini ya idara gani na je elimu yako then unataka ukasomee Nini na je unachotaka haswa NI process gani uelekezwe?ya kuandika barua au ku apply chuo
Muda Wote Ulishindwa Kujieleza VemaNimesoma agricultural economics and agribusiness.idara ya kilimo.nipo halmashauri.nataka Kubadilisha muundo kwenda uchumi.
Nimeandika kama mara tatu hakuna majibuMuda Wote Ulishindwa Kujieleza Vema
Utumishi Unatakiwa Kuwaandikia Barua Halafu Ijitosheleze Yaani Kusudio Lako
Usiandike Kama Hapo Juu
Upo Mkoa Gani?Nimeandika kama mara tatu hakuna majibu
Upo Mkoa Gani?
Njoo Dodoma Twende Mtumba Ukamalize Jambo Lako.
Upo kada gani na umesoma vitu gani vya kukuwezesha kubadilisha kada?Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
Sawa tu.nilikuwa kilimo nataka kwenda uchumi.Upo kada gani na umesoma vitu gani vya kukuwezesha kubadilisha kada?
Unapobadilisha kada kwa sasa utaanza na mshahara wa mwajiriwa mpya wa kada husika unayohamia bila kujali kada yako uliyotoka ulikuwa umefikia ngazi gani ya mshahara