Nina kiwanja cha kama square meter elfu mbili na nne ambacho nataka kukigawanya kiwe plot tatu zenye title kila moja.... naomba msaada wa jinsi ya kufanya hivyo bila gharama kubwa "Step b Step"
kama hizo sqm zako zizlishapimwa huwezi kukigawa, kama bado nenda ardhi maana ndo watakupimia na kukupa ramani ili ziingizwe kwenye plan za H/w au manispaa
kama hizo sqm zako zizlishapimwa huwezi kukigawa, kama bado nenda ardhi maana ndo watakupimia na kukupa ramani ili ziingizwe kwenye plan za H/w au manispaa
kiwanja kina title deed; ninacho omba msaada ni kujua utaratibu wa ku Sub-divide plot into three.... nimeambiwa inawezekana na mtu sema sijui procedures....