CottonEyeJoe
JF-Expert Member
- Jan 8, 2008
- 331
- 72
Salaam Wanajamvi,
Nina kiwanja cha kama square meter elfu mbili na nne ambacho nataka kukigawanya kiwe plot tatu zenye title kila moja.... naomba msaada wa jinsi ya kufanya hivyo bila gharama kubwa "Step b Step"
Nashukuru wote na Sikukuu njema.
CEJ.