Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 225
Unadhani ni ugonjwa ama unataka tu kujua kwa nini hayo maumivu yanakutokea?
Kwa taarifa tu: Afya yako ni nzima kabisa...!
Poleni na majukumu ya leo wakuu. Tatizo langu ni kwamba nikikaa kama wiki moja bila kusex au nikiwa kwenye maandalizi ya kufanya sex halafu ikashindikana napata maumivu makali sana ya kiuno yanayoshuka hadi kwenye KORODANI. Na solution ni sex. Msaada tafadhali wakuu. Ansanteni
Unadhani ni ugonjwa ama unataka tu kujua kwa nini hayo maumivu yanakutokea?
Kwa taarifa tu: Afya yako ni nzima kabisa...!