Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 225
Poleni na majukumu ya leo wakuu. Tatizo langu ni kwamba nikikaa kama wiki moja bila kusex au nikiwa kwenye maandalizi ya kufanya sex halafu ikashindikana napata maumivu makali sana ya kiuno yanayoshuka hadi kwenye KORODANI. Na solution ni sex. Msaada tafadhali wakuu. Ansanteni