Habari zenu wakuu ,
eti madaktari na wataalamu wa JF naoba kuna uhusiano gani kati ya Hearing loss na ganzi za miguu .Maana nina sumbuliwa na hivi vitu viwili na hapa majuzi kuna watu wame niambia vina uhusiano yaani eti baadhi yawatu wenye hearing loss hutokana na ganzi ya miguuni mwao na kama ikiisha kuna uwezokano wa kusikia vizuri .ETI NI KWELI ?, NA kama ni kweli nifanyaje kupunguza matatizo haya
Natanguliza shukrani zangu za dhati