Msaada tafadhali wakuu

Msaada tafadhali wakuu

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Habari zenu wakuu ,

eti madaktari na wataalamu wa JF naoba kuna uhusiano gani kati ya Hearing loss na ganzi za miguu .Maana nina sumbuliwa na hivi vitu viwili na hapa majuzi kuna watu wame niambia vina uhusiano yaani eti baadhi yawatu wenye hearing loss hutokana na ganzi ya miguuni mwao na kama ikiisha kuna uwezokano wa kusikia vizuri .ETI NI KWELI ?, NA kama ni kweli nifanyaje kupunguza matatizo haya
Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
pole ndugu yangu ila nakushauri nenda kwa wataalamu waliofuzu mafunzo ila watu wa kawaida sidhani kama watakupa jibu kamili siku njema ndugu yangu
 
Hii is not easy, ushauri nenda hospital umwone Dr akuchukue hx pamoja na vipimo, you cannot explain with this only few words, it needs more than that
 
Kuisha kwa tatizo la kutosikia vizuri kutategemea na kisababishi cha uziwi huo. Na inategemea kama ni uziwi wa muda ama wa kudumu, again kwa kutegea ilisababishwa na nini. Tambua kuwa kuna baadhi ya dawa za kupunguza maumivu zinasababisha kutosikia vizuri kwa muda.

Nenda hospitali ili umueleze dr na kufanyiwa kipimo cha audiogram. Kitatambulisha sababu ya kutosikia kwako. Dr anaweza kukufanyia xray ya miguu pia. Wahi mapema manake unavyozidi kukawia ndio ugumu wa kupona unavyozidi.
 
ding dong dantes!
jaribu tiba mbadala hii
asubuhi sana na jioni kabla ya kulala kunywa mafuta ya samaki ( omega 3 -au cold liver oil) mfululizo kwa mwezi mmoja au hata miezi miwili , hayo matatizo yote mawili yatakuwa history kwako. Ila kama una tatizo la kisukari tiba mbadala hii ufanisi wake unakua ni mdogo!
 
Back
Top Bottom