Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
habari zenu wanajukwaa ni matumaini wote mko vizuri kwa ufupi mimi ni mtahiniwa wa kidato cha nne so nimejipanga nataka kuingia chuo cha mipango dodoma but nimeambiwa unaweza kuingia DIPLOMA moja kwa moja bila kupitia CERTIFICATE vp hii ikoje mwenye info tafadhali!!!!!