Msaada tafadhali wapendwa

Harhombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
216
Reaction score
57
Nimeenda kupima general body health na niliambiwa PH yangu inatofautiana kwa kiwango kikubwa sana yaani acid ni nyingi kuliko alkali,na pia nina urefu wa cm 164 na ni kg 66 lakini nimeambiwa moyo una mafuta.Please help me in order to balance acid and alkal same as to reduce level of fat to my heart.regards
 

Umepima general body wapi.
 
kiume kaka

cc mzizi mkavu,Heaven onEarth,Preta na wengine wote nahitaji msaada.

Unatakiwa upunguze sana matumizi ya vyakula au vinywaji vyenye asidi nyingi na wakati huo huo uongeze matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye alkalini zaidi. Kuna kitabu nakuwekea hapa kina orodha ya vyakula vyote na kila chakula/kinywaji na kiasi chake cha asidi au alkalini
 

Attachments


Be blessed brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…