Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
Baada ya kutumia flash disk yangu kuhamisha files toka kwenye komputa ya mshikaji wangu, file zote zinaonekana kama shortcut na hazifunguki, pia baadhi ya file kwenye komputa yangu zimepotea! Kwa wenye uzoefu ni antvirus gani itakayoweza kuokoa jahazi! Natumia avast kwenye komputa yangu!