Msaada tafadhali

Godhelp

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
91
Reaction score
65
Habari wana JF nauliza nikitaka kuagiza spare Online mfano Ebay , amazon, nikiagiza na mfano ni free shipping nitakuja kulipa tax tena Tanzania??? Na je kwenye kupokea napokea wapi mzigo wangu???? Naomba msaada ambaye Ameagiza au anayejua Details vizuri anijuze. Karibuni

Samsung J7
 
Kodi ni Mara tatu mpaka kumi ya bei ulonunulia.

Tihara Heyi Mungu anawaona
 
Nijuavyo ni kuwa inategemea umeagiza kupitia kampuni ipi.

Maarufu zaidi ni DHL na FedX na mzigo ukija basi utashukia katika ofisi zao

Mimi nilikuwa nikiagiza vitu vinashukia DHL Arusha as a Parcel baada ya kuweka adress yao.

Kuhusu kulipia ni kwamba products nyingi palepale pa kufanya transaction online watakupa price ya hiyo product pamoja na shipping cost.

Kuhusu kodi, inaweza kuwa included ila kuna aina ya tax inautwa Due tax (Kama sijakosea) ambayo ni amount ya pesa unayotoa ili kumsaidia kulipa kodi yule anayekuuzia bidhaa kule alipo.
 
Habari wana JF nauliza nikitaka kuagiza spare Online mfano Ebay , amazon, nikiagiza na mfano ni free shipping nitakuja kulipa tax tena Tanzania???
Ghalama za usafirishaji, Free/Paid shipping haiuhusiani na ulipaji au kutokulipa kodi.

Iwapo mzigo umekaguliwa na kutakiwa kulipa kodi itabidi ulipie tu. Na iwapo mzigo uko kwenye kundi la items zisizo lipiwa kodi basi hautolipia kodi
Na je kwenye kupokea napokea wapi mzigo wangu????
Utapokelea posta - iwapo mzigo unakuja kwa njia ya posta

Utaletewa nyumbani / ofisini - iwapo utatumia kampuni kama DHL/ FEDEX/ ARAMEX/ UPS etl

Pia utapigiwa simu baada ya mzigo wako kufika
Naomba msaada ambaye Ameagiza au anayejua Details vizuri anijuze. Karibuni
Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu nianze huduma ya kuagiza bidhaa toka nje ya nchi.

Maelezo zaidi ingia hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa kwa msaada zaidi.

Na je kwenye kupokea napokea wapi mzigo wangu????
Iwapo utatumia huduma yangu.
- Kama upo mkoani mzigo utatumiwa kwa EMS au kwa njia ya BASI - wewe utatoa mwongozo baada ya mzigo kufika
- Iwapo upo DSM (a) Waweza kuja kuchukua ofisini - UTAPATA MAELEKEZO (b) Waweza kuletewa mahala ulipo ofisini au nyumbani - Utalipia ghalama ya TZS 3,000

KARIBU www.bit.ly/101buy4me
 
Asanteni na mzigo unaweza kuchukua siku ngapi??? Mpaka unafika mfano nimeagiza kutoka U.S.A

Samsung J7
 
Kwahiyo kwa huduma yako utamtaarifu mteja pale atakapotakiwa kulipa kodi?
 
Kwahiyo kwa huduma yako utamtaarifu mteja pale atakapotakiwa kulipa kodi?
Ni sahihi kabisa.
Mteja atajulishwa kiasi cha kodi.
- Atatumiwa document na atafanya malipo ya kodi yeye mwenyewe
au
- Atanitumia fedha nami nitashughulikia na documents zote za maripo za TRA atapewa pamoja na mzigo wake.

Karibu
 
Mkuu samahani nawezaje kujua kama bidhaa ninayo agizwa haipaswi kulipiwa kodi?
 
Binafsi ijumaa ya 18/1/2019 nimetoka post kuchukua mzigo wangu kutoka China..ni spea ya gari.
Kwa kweli sijatozwa kodi yoyote ninedaiwa tu kitambulisho wakanipa mzigo wangu...nadhani pia inategemea ukubwa wa mzigo na uzito kama sikosei.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umebahatika tu ndugu yangu. Spare za gari unalipa kodi. Jumla inakuwa kama 47.5% ya gharama ya spare kama ni mpya. Kama ni used, nafikiri unalipia excise duty, nimesahau ni asilimia ngapi.
 
Umebahatika tu ndugu yangu. Spare za gari unalipa kodi. Jumla inakuwa kama 47.5% ya gharama ya spare kama ni mpya. Kama ni used, nafikiri unalipia excise duty, nimesahau ni asilimia ngapi.
Duu..kwa hiyo kumbe fagio la chuma limenikosa??
Kuna spark plug nataka kuagiza tena...ngoja niagize nione kama hili fagio la TRA linanipapasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, hiyo spare ilikuwa na uzito kiasi gani na thamani kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…