Ghalama za usafirishaji, Free/Paid shipping haiuhusiani na ulipaji au kutokulipa kodi.
Iwapo mzigo umekaguliwa na kutakiwa kulipa kodi itabidi ulipie tu. Na iwapo mzigo uko kwenye kundi la items zisizo lipiwa kodi basi hautolipia kodi
Utapokelea posta - iwapo mzigo unakuja kwa njia ya posta
Utaletewa nyumbani / ofisini - iwapo utatumia kampuni kama DHL/ FEDEX/ ARAMEX/ UPS etl
Pia utapigiwa simu baada ya mzigo wako kufika
Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu nianze huduma ya kuagiza bidhaa toka nje ya nchi.
Maelezo zaidi ingia hapa:
Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa kwa msaada zaidi.
Iwapo utatumia huduma yangu.
- Kama upo mkoani mzigo utatumiwa kwa EMS au kwa njia ya BASI - wewe utatoa mwongozo baada ya mzigo kufika
- Iwapo upo DSM (a) Waweza kuja kuchukua ofisini - UTAPATA MAELEKEZO (b) Waweza kuletewa mahala ulipo ofisini au nyumbani - Utalipia ghalama ya TZS 3,000
KARIBU
www.bit.ly/101buy4me