Msaada Tafadhali

Mwana kondoo

Senior Member
Joined
May 21, 2017
Posts
180
Reaction score
177
Habari wapendwa,

Nahitaji kujua neno sahihi kwa nafasi iliyoachwa wazi katika sentensi ifuatayo ni lipi!

"Ukimya wako..................utakaokuponza" (ndio, ndiyo)

Je neno sahihi hapo ni ndio au ndiyo?
 
Habari wapendwa,

Nahitaji kujua neno sahihi kwa nafasi iliyoachwa wazi katika sentensi ifuatayo ni lipi!

"Ukimya wako..................utakaokuponza" (ndio, ndiyo)

Je neno sahihi hapo ni ndio au ndiyo?
Ndiyo sababu ndio ni wingi wa ndiye.
 
Aisee, hayo maneno huwa yananichanganya muda mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…