Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalendi,Heshima kwenu wadau!
Naomba kujua historia ya mwanamke aliyetekwa kipindi cha ukoloni kule kusini mwa afrika na kupelekwa nchini Ufaransa kutumikishwa ngono mpaka kupelekea kifo chake. Nimesahau jina lake.
Naomba kuwasilisha!
Ndio mwemyewe-kuna thread yake humuNi yule aliyekua na makalio makubwaaaaaa akawa anafanyiwa maonyesho?