Msaada Tafadhali

Msaada Tafadhali

bheri

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
101
Reaction score
85
Mimi nina miaka 28 nina tatizo la kuwashwa kwenye magoti na hili tatizo huwa linatokea kwa vipindi. Na hivi karibun naona kama misuli ya miguu yangu inakuwa inakakamaa ila ili tatizo la kukakamaa kwa misuli limeanza kama siku 3 zilizopita. Naomba mwenye kujua ufumbuzi wa haya matatizo anisaidie. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom