Azikiwe Senior Member Joined Nov 13, 2009 Posts 190 Reaction score 20 Aug 1, 2011 #1 Jamani ni wapi naweza kuchapisha maandishi na picha kwenye T-shirts?
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,389 Reaction score 674 Aug 1, 2011 #2 kwani wewe upo mkoa gani eleza vizuri mkuu ili upate msaada kuliko kuandika kifupi tu ivo. haya mi nakutajia muwasi Tprint and graphics. sasa hapo utajua wew ipo wapi .
kwani wewe upo mkoa gani eleza vizuri mkuu ili upate msaada kuliko kuandika kifupi tu ivo. haya mi nakutajia muwasi Tprint and graphics. sasa hapo utajua wew ipo wapi .