Msaada Tafadhali

Msaada Tafadhali

Azikiwe

Senior Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
190
Reaction score
20
Jamani ni wapi naweza kuchapisha maandishi na picha kwenye T-shirts?
 
kwani wewe upo mkoa gani eleza vizuri mkuu ili upate msaada kuliko kuandika kifupi tu ivo. haya mi nakutajia muwasi Tprint and graphics. sasa hapo utajua wew ipo wapi .
 
Back
Top Bottom