Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

pole sana..................mapenzi ya siku hizi ni more clingy.
 
Alishakufanyia mengi sema ulikuwa bado na upofu wa mapnz ndio maana hukuelewa,
Alichokifanya nikukupa live ili uelewe haraka na usepe umwachie nafasi,
Haya mapnz haya sijui mwalimu wake ni nani,bora umejiondokea tu.
 
Back
Top Bottom