Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Usiku mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali.napatikana Njombe mjini mkoa wa Njombe.nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi vidogovidogo.biashara haikui kutokana na mtaji mdogo sana.naimani nikiwezeshwa katika Hilo.nitanyanyuka.asanteni
Nashukuru mkuu.ubarikiwe kwa kunijengea kujiamini katika imaniKabla hujalala kila siku iendayo kwa mungu tamka maneno haya " mimi ni tajiri na mwenye mafanikio " ukiamka asubuhi chakwanza sema haya meneno kadiri uwezavyo
Kumbuka kuyaishi hayo maneno katika maisha ya kawaida. Na hii ndio mtaji naoweza kuongeza katika biashara yako