Suleiman hatibu
Member
- Dec 22, 2017
- 53
- 22
Uhandisi akasome mtu mwenye div III?Kila siku tunawapa elimu bure hamuelewi.
Huyo angejaza technical colleges kusomea uhandisi angetoboa chap .
Haya bado hujachelewa. Subiri dirisha la usajili lianze mwombee COTC akosomee diploma awe clinical officer.
Wabongo uelewa wenu mdogo sana .Uhandisi akasome mtu mwenye div III?
Basi ni kweli elimu yetu ina matatizo.
ndo ninachomaanisha, D ni kiwango kidogo kwa mhandisi.Wabongo uelewa wenu mdogo sana .
Uhandisi si lazima uanze na degree
Cha msingi D 3 tu za sayansi unasomea uhandisi ngazi ya diploma kwa miaka 3 , then unakuwa na sifa ya kuajiriwa au kusomea degree .
Kwenda form five ni kukosa uelewa.
Mimi nilienda five na six bro alinilaumu sana ila nilikuwa too late
Mtafutie kozi nzuri Arusha tech akasome,achana na 5&6Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'
Dv 3 ya 23
je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Atachaguliwa tuliza moyo.Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'
Dv 3 ya 23
je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Huyo mwambie ajilengeshe kwa LISIMP limpe mimba limuoeKijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'
Dv 3 ya 23
je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Daaaah..Huyo mwambie ajilengeshe kwa LISIMP limpe mimba limuoe
Huyo mwanao ameisha onyesha hana nia ya kusoma mwache akadangeDaaaah..
angekuwa mwanao ungefanya maamuzi hayo mkuu...
acha hizo ndugu yangu
Cha 5 anapata, ila akifanya diploma atatoboa kirahisi.Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'
Dv 3 ya 23
je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?