Msaada tafadhali🙏🙏

Msaada tafadhali🙏🙏

Kila siku tunawapa elimu bure hamuelewi.
Huyo angejaza technical colleges kusomea uhandisi angetoboa chap .
Haya bado hujachelewa. Subiri dirisha la usajili lianze mwombee COTC akosomee diploma awe clinical officer.
Uhandisi akasome mtu mwenye div III?

Basi ni kweli elimu yetu ina matatizo.
 
Combination ya HKL imebalance lakini nafikiri kutokana na kuongezeka kwa ufaulu, siku hizi wanaopangiwa Advance wengi wanakuwa na Division one na two kwa asilimia Kubwa na Kama ni div 3 basi iwe ya mwanzo kabisa ya point 22, hivyo nadhani anaweza kuchaguliwa chuoni moja kwa moja.
And it's the best move.
 
Uhandisi akasome mtu mwenye div III?

Basi ni kweli elimu yetu ina matatizo.
Wabongo uelewa wenu mdogo sana .
Uhandisi si lazima uanze na degree
Cha msingi D 3 tu za sayansi unasomea uhandisi ngazi ya diploma kwa miaka 3 , then unakuwa na sifa ya kuajiriwa au kusomea degree .
Kwenda form five ni kukosa uelewa.
Mimi nilienda five na six bro alinilaumu sana ila nilikuwa too late
 
ndo ninachomaanisha, D ni kiwango kidogo kwa mhandisi.
 
Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'

Dv 3 ya 23

je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Mtafutie kozi nzuri Arusha tech akasome,achana na 5&6
 
Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'

Dv 3 ya 23

je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Huyo mwambie ajilengeshe kwa LISIMP limpe mimba limuoe
 
Ikiwa upo vzr kifedha nashaurii aende diploma form five na six ni upotezaji wa muda zaidi ya kupata exposure tuu......

Ninazungumza nikiwa naelewa
 
Kwanini usimpilekee diploma ya famas,au nursing...kama upo vzr kiuchumi..make 5 Na 6 ni kupoteza muda t
 
Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne,
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
CHEM - 'D'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'

Dv 3 ya 23

je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
Cha 5 anapata, ila akifanya diploma atatoboa kirahisi.
 
Back
Top Bottom