Msaada tafadhali!!!

Msaada tafadhali!!!

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Habari wanajf wenzangu, hongereni na majukumu ya hapa na pale.....Mwenzenu nina tatizo la kukojoa sana wakati wa ucku, si chini ya mara nne kwa usiku mmoja, na tatizo lina mwezi sasa..Cha ajabu maji sinywi sana hasa wakati huo wa usiku.....MAWAZO NA USHAURI WENU NDIO MSAADA KWANGU ILI NIONDOKANE NA HILO TATIZO...Wenye weledi wa udaktari, mawazo yao ndio yatapewa kipaumbele...NIMEWASILISHA
 
Habari wanajf wenzangu, hongereni na majukumu ya hapa na pale.....Mwenzenu nina tatizo la kukojoa sana wakati wa ucku, si chini ya mara nne kwa usiku mmoja, na tatizo lina mwezi sasa..Cha ajabu maji sinywi sana hasa wakati huo wa usiku.....MAWAZO NA USHAURI WENU NDIO MSAADA KWANGU ILI NIONDOKANE NA HILO TATIZO...Wenye weledi wa udaktari, mawazo yao ndio yatapewa kipaumbele...NIMEWASILISHA[/QUOT

Mwili mkubwa.
 
Back
Top Bottom