nover jua kwamba haya yatakua maisha yako na sio ya ndugu zako.....swali ni wewe umeipenda hiyo program uliyochaguliwa???? je akaunti unaijua hasa kwa soko lake kwa sasa hapa bongoland???
USHAURI
Kama unapenda hiyo ya econiomics with staticstics just go for it..ila kama huipendi(hapa wasiliana na moyo wako) nenda kabadili!! usibadili kisa ndugu yako kasema ubadili....
MAWAZO
hiyo program ya economics with statistics ni mjumuisho wa program mbili yaani economics na statistics,sasa hapa itakua simple sana kwa baadae(hasa kwenye swala la ajira) maana utaweza fanya kazi kama statician na kama economist(kwa nnavyojua hata mtu aliyesoma economics kuna baadhi ya kazi za akaunti anaeza fanya)!!! kwa haraka ni kwamba iko wide na market yake hasa kwa baada inaweza kua nzuri tofauti na akaunti!!!
ila sisemi usiwasikilize ndugu zako..wasikilize hasa sababu za kukutaka wewe ubadilishe hiyo program.....JUA MAISHA YAKO YA BAADAE MUHUSIKA MKUU NI WEWE NA SIO NDUGU ZAKO...SIKILIZA MOYO WAKO HASA KWA SWALA KAMA HILI....nawasilisha.....