msaada tafadhali

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
748
Reaction score
254
heshima kwenu wakuu, kuna jamaa yangu anaishi maeneo ya Tabora ana dumu zaidi ya 20 za lita ishirini kila moja za asali na anatafuta soko.anataka azitume nimuuzie but kwa hapa Dar es salaam me sijui soko la asali mbichi liko wapi.miaka ya nyuma aliwahi kutuma kama tatu hivi nikamuuzia coz kuna mtu alikuwa anataka kwa matumizi yake binafsi.now jamaa inaonekana anahitaji sana pesa ndo hivyo tena pressure inazidi.naomba msaada kama kuna mwana JF yeyote anafahamu soko au sehemu wananunua asali mbichi anijuze coz inaweza kuwa biznez ambayo ni nzuri.natanguliza shukrani.
 
thanks Masagati ngoja tusubiri wenye kufahamu kuhusu hii issue waje watwambie.
 
k/koo maeneo gani mkuu lucky?
 
Kariakoo sokoni ndani tena wataipigania kama mpira wa kona...fanya hivyo ina soko kubwa tu
 
asante mkuu lucky ngoja kesho nipitie kucheki nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…