B bigi 8 Member Joined Jan 23, 2013 Posts 19 Reaction score 3 Apr 30, 2013 #1 Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .
Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .