Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

bigi 8

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
19
Reaction score
3
Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .
 
Back
Top Bottom