Wana jf naombeni ushauri nifanyeje , mwenzenu vidole vya mikono vimekwisha,vinauma sana fangus imenila kweli kweli, na kusema nisishike maji ndio kibarua kinaota nyasi, kila siku lazima nifue na kudeki , kama kuna dawa japo ya kutumia au sindano mnijuze tafadhali.