Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

BABY ACY

Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
78
Reaction score
14
Wana jf naombeni ushauri nifanyeje , mwenzenu vidole vya mikono vimekwisha,vinauma sana fangus imenila kweli kweli, na kusema nisishike maji ndio kibarua kinaota nyasi, kila siku lazima nifue na kudeki , kama kuna dawa japo ya kutumia au sindano mnijuze tafadhali.
 
Nenda hospital wafanye culture ya hao fungus ili wakupe dawa stahiki.
 
Back
Top Bottom