Msaada Tafadhali.

Msaada Tafadhali.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Habari wakuu, Tatizo ni kwamba, mwanamke ana mimba ya miezi 4 ila ameanza kujisikia kukandamizwa kibofu cha mkojo, na anaweza kujisikia kama amebanwa na mkojo lakini akienda kukojoa anakojoa mkojo kidogo. Clinic wamemshauri akiona hali inaendelea, afanye vipimo vya Utra sound. Ningeomba kujua vipimo hivi vinapatikana Hospital gani kwa Dar es salaam, na kwa gharama gani. Nakaribisha michango yenu.
 
Back
Top Bottom