Eliezar Mlwafu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 449 Reaction score 140 Nov 1, 2013 #1 Nasikia maumivu makali sana kwenye kibofu cha mkojo,na pia nakojoa mkojo wa njano,nimejalibu kupima mala kadhaa,lakini vipimo vinaonyesha sina tatizo lolote,sasa cjajua kwakweli tatizo ninini.naombeni ushauri wenu tafadhali
Nasikia maumivu makali sana kwenye kibofu cha mkojo,na pia nakojoa mkojo wa njano,nimejalibu kupima mala kadhaa,lakini vipimo vinaonyesha sina tatizo lolote,sasa cjajua kwakweli tatizo ninini.naombeni ushauri wenu tafadhali