Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Nasikia maumivu makali sana kwenye kibofu cha mkojo,na pia nakojoa mkojo wa njano,nimejalibu kupima mala kadhaa,lakini vipimo vinaonyesha sina tatizo lolote,sasa cjajua kwakweli tatizo ninini.naombeni ushauri wenu tafadhali