habari madocta nina maswali mawili nataka kuwaulizaa
1. ivi ni inachukua mda gani kujigundua kama wewe umeathirika utaona dalili zipi
2. na ukifanya mapenzi na mwanaume ukiwa siku za hatari za kushika mimba na mwanaume asipopizi ndani unaweza ukapata mimba..
ni hayo tuu
asanteni