kwa anayejua eusophagael tumour ni nn na wapi ninaweza kupata matibabu anisaidie jaman.baba yangu kaambiwa kuwa ana tatizo hilo na daktar nimezunguka Naye hospitali nyingi bila mafanikio naishia kupewa rufaa tu nipo muhimbili hapa lkn bado hapaelewek na hali ya mgonjwa inazidi kuwa mbaya nisaidien tafadhali