Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

colours

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
70
Reaction score
14
Kukakamaa kwa misuli ya tumbo hasa wakati wa usiku, ni ugonjwa gani na je unatibikaje?
 
Nimeshaenda mara mbili, baada ya vipimo napewa panadol na kuambiwa ninywe maji ya vuguvugu, baada ya hapo hua napata nafuu kabisa, tatizo ni kwamba hali hiyo hurudia kila baada ya muda flani.
 
Nimeshaenda mara mbili, baada ya vipimo napewa panadol na kuambiwa ninywe maji ya vuguvugu, baada ya hapo hua napata nafuu kabisa, tatizo ni kwamba hali hiyo hurudia kila baada ya muda flani.

tumia hot water bottle. mama yngu alkuwa anasumbuliwa na tumbo ilmsaidia sna
 
km hii
 
Attachments

  • 1437161729943.jpg
    1437161729943.jpg
    57.1 KB · Views: 101
Nakushukuru ndugu yangu,je! Naweza nikapata kwenye maduka ya madawa?
 
Pole. bado tunasisitiza uendelee kuchunguza zaidi hopital. kama unavyo jua utaalamu na vifaa vinatofautiana. ukishidwa kabida njoo tukupe ushauri na tiba mubadala. 0689 417 472
 
Back
Top Bottom