Habari wana jamvi.
Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Sio lazima kila mfuga kuku ana umeme. Unaweza kutumia chemli na kwa kuweka joto unatumia jiko la mkaa. Unataka kufuguia sehemu gani? You may be my neighbour.
Sio lazima kila mfuga kuku ana umeme. Unaweza kutumia chemli na kwa kuweka joto unatumia jiko la mkaa. Unataka kufuguia sehemu gani? You may be my neighbour.