Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes wameenda wote na mmewe!Waende wote kwa dakta inaweza kua hata kijamaa nacho kina ishuz
Samahani lakini Cantalisia Sina maana hiyo.Msalimie wifi yako mwambie afuate ushauri wa mzurimie au kwa ziada aende kwa Dr.Diamond pale ccbrt atamsaidia.
Ana umri gani? kwa mimi cases nyingi za namna hiyo nimeziona kwa wamama wenye fibroades(sina hakika na spelling). Naamini kama amechelewa kidogo kuzaa lakini mimi sio specialist.
Jaman dada yangu,nimerudi tangu majuzi na niliweka bandiko kule uwanja wa hm chitchat ila sikukuona hope hukulionna pia,but am back my darling sister!Mdogo wangu, yaani umepotea afu unakuja kimya kimya?
Hili swali tumuulize mama. Ila sidhani Kama ni tatizo kubwa. Ikiendelea aendelee kwa specialist ili na issue ya mimba iwe sorted.