Msaada tafadhalini: Bei ya mahindi Singida ikoje?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari zenu,

Ni matumaini yangu ni wazima wa afya njema, kimya kingi ni kutokana na majukumu tu. Nilikuwa na safari ya kuelekea Singida kikazi, mwezi huu.

Hivyo basi, wale wazoefu wa huko wanipe gharama za nauli, bus nzuri na muda wa kuwasili. Kama kuna wadau wanaouza mahindi watiririshe bei zao, walipo, na kiujumla mahindi soko lake likoje na upatikanaji wake.

Karibuni sana kwa maoni yenu.


Nawasilisha.
 
unatokea wapi mkuu
 
Bei ya mkulima singida ni 55 elf kwa gunia la mahindi la debe 6
 
Hamna wajuvi jamani?
 
Unatokea kibiti au wapi? Mahindi unapeleka wapi?! Nje ya mkoa uwe na kibali. Mahindi yapo Bei ni Tshs 65, 000 - 75000 @ 100kg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…