dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Habari zenu,
Ni matumaini yangu ni wazima wa afya njema, kimya kingi ni kutokana na majukumu tu. Nilikuwa na safari ya kuelekea Singida kikazi, mwezi huu.
Hivyo basi, wale wazoefu wa huko wanipe gharama za nauli, bus nzuri na muda wa kuwasili. Kama kuna wadau wanaouza mahindi watiririshe bei zao, walipo, na kiujumla mahindi soko lake likoje na upatikanaji wake.
Karibuni sana kwa maoni yenu.
Nawasilisha.