mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Amani iwe kwenu wana jf.Mtoto wangu ana miaka 13 .Anasumbuliwa na kifua inatokea kinambana sana na kumletea homa kali.Ikitokea hivyo anachomwa sindano kifua kinamwachia.Daktar anadai ni dalili ya asthma.Mwenyekujua dawa aokoe maisha ya mwanangu..