Msaada tafadhalini Mtoto Kifua(Asthma) kinamtesa.

Msaada tafadhalini Mtoto Kifua(Asthma) kinamtesa.

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani iwe kwenu wana jf.Mtoto wangu ana miaka 13 .Anasumbuliwa na kifua inatokea kinambana sana na kumletea homa kali.Ikitokea hivyo anachomwa sindano kifua kinamwachia.Daktar anadai ni dalili ya asthma.Mwenyekujua dawa aokoe maisha ya mwanangu..
 
Dawa ya kifua cha pumu ni :

Chukuwa karafuu 6 zitowe vichwa vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu glasi ya maji usiku kucha mpaka asubuhi kisha awe anakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu. tumia kisha unipe Feedback.@mgange hussein
 
ni pm nikuelekeze dr. pumu itakuwa historia kwako
 
Back
Top Bottom